• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, June 20, 2012

    ALIYEPIGWA MAKONDE NA DIAMOND NA KUHARIBIWA VITU VYAKE WAPATANISHWA!


    Desemba mwaka jana utakumbuka kuwa kuna mwandishi wa habari wa kujitegemea wa kule mjini Iringa ndugu Godwin Francis alidai kupigwa na Msanii wa muziki Diamond na kupeleka kesi hiyo kwenye mahakama moja huko Iringa ambapo hakimu aliamuru mshitakiwa amlipe mlalamika kiasi cha kisichozidi laki 2 licha ya mlalamikaji kudai milioni 30 juu ya kupigwa na kuharibiwa mali zake. Lakini baada ya kesi hiyo Godwin alitoa siku 30 kwa Diamond ili aweze kumlipa hizo milioni 30 na endapo hatafamya hivyo atafikisha kesi hiyo mbele zaidi ya sheria lakini Diamond hakufanya hivyo. Lakini jana kupitia media
    kadhaa waliweza kutoa habari kwamba Godwini yuko Dar na wamekaa chini na Diamond kulimaliza tatizo hilo wakiwa chini ya wapatanishi kadhaa na kudai kuwa swala hilo linaelekea kuisha, kama unavyowaona pichani ni picha waliyopiga baad ya kupatanishwa.

    No comments:

    3500K