MSANII OMMY DIMPOZI UMESHUKA KIMUZIKI SANA TAFADHALI JIPANGE UPYA KABLA
HUJAPOTEA KABISA..
KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI KAMA MITATU NYUMA OMMY ALIKUWA JUU SANA KIMUZIKI
SASA SIJUI ALILEWA SIFA KWANI ALIKUWA NI MTU AMBAYE TULIMTEGEMEA
KUTUWAKILISHA KIMATAIFA VYEMA...LAKINI SASA KUMBE MSANII ALILEWA SIFA
AKABWETEKA NDO UFIKIA HAPA ALIPO SASA....
HAKIKA KATIKA TUZO ZA KILI ULITOA SHOW MBAYA AMBAYO ILIMUACHA KILA MTU NA
MASWALI MENGI KAMA NDO HUYU OMMY DIMPOZI WANAYE MFAHAMU KWANI SHOW ILIKUWA
MBAYA KUPINDUKIA...HAYA NI MAONI YA WADAU WA MTANDAO WA THECHOICE NA
MASHABIKI WAKO WAKUBWA
No comments:
Post a Comment