*Mama mzaa chema wa staa wa sinema za Kibongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’,
Mariam Sepetu.*
*Haya ni madai mazito! Mama mzaa chema wa staa wa sinema za Kibongo, Wema
Isaac Sepetu ‘Madam’, Mariam Sepetu anadaiwa kumzaba vibao askari wa
kampuni binafsi.Kwa mujibu wa shuhuda huyo, tukio hilo lililovuta hisia za
watu wengi lilijiri kwenye Bandari ya Dar es Salaam, majira ya mchana
Ijumaa iliyopita.Kabla ya kushusha stori kamili, Ijumaa Wikienda lilimhoji
shuhuda huyo kama anamjua vizuri mama Wema ambapo alithibitisha kuwa ni
yeye huku akisapotiwa na wenzake waliokuwa wakisikika kwenye simu
No comments:
Post a Comment