Msanii wa filamu Bongo, mwanadada Nisha ameandika kwa uchungu kupitia 
ukurasa wake wa Instagram kuhusu habari zilizo andikwa kuhusiana nae 
amabazo mwenyewe anadai hakusema na si za kweli. Nisha amepost picha ya 
mtandao anaodai umeandika habari hizo na kuandika ujembe wakukanusha na 
sikitishwa kwake na habari hizo. Jisomeee.........
Instagram oyeeeeee.
*CREDIT : JESTINA GEORGE *
 
       
    
 
 
          
      
 
 
            
          
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment