[image: Chadema chama kilichojengwa kwa NGUVU kubwa ya propaganda ya
vyombo vya habari vya IPP kwa ushilikiano mzuri wa baadhi ya magazeti, Sasa
kimebaki HISTORIA mkoani KIGOMA, bendera kadi,zinachomwa MOTO hadharani
vijiwe ofisi zinabomolea, Mandamano makubwa kufanyika MWANZA J'pili SINGIDA
nao wajianda pengine ni nchi nzima, R I P chama cha Kaskazini Chadema]
Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya
kigoma ili kupinga ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo
pamoja na kupinga maamuzi yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema
No comments:
Post a Comment