Moja wa makipa mahiri nchini Tanzania Juma Kaseja, ameingia kambini rasmi
na timu yake mpya rasmi ya Yanga maarufu kama watoto wa jangwani.
Juma Kaseja amabaye amejiunga na timu hiyo ya Jangwani kwenye dirisha dogo
la usajili akitokea katika timu ambayo ni wapinzani wakubwa wa timu hiyo
ya Jangwani wajulikanao kama wekundu wa msimbazi Simba.
Yanga ambayo ipo kitka wiki ya pili ya Tizi ikiwa inajiandaa na maandalizi
ya mzungoko wa pili wa ligi kuu Tanzania bara, pamoja na michuano ya club
bingwa Africa.
No comments:
Post a Comment