• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Wednesday, October 30, 2013

    NANDO KUIWAKILISHA TENA TANZANIA BBA 2014

    Habari za kuaminika kutoka katika vyanzo vya habari zinasema kuwa aliyekuwa mwakilishi wa shindano la Big Brother Africa’BBA’The Chase’2013 kutoka Bongo Ammy Nando aliyefukuzwa katika jumba hilo kwa utomvu wa nidhamu anategemea kuiwakilisha tena nchi yake kwa mara nyingine mwakani 2014.

    Nando atakuwa anaiwakilisha Tanzania katika msimu wa 9 wa Big Brother Africa show, tagged Stars BBA na kwamba inasemekana staa huyo amekubali kuiwakilisha TZ mwakani.…

    Habari za kuaminika kutoka katika vyanzo vya habari zinasema kuwa aliyekuwa mwakilishi wa shindano la Big Brother Africa’BBA’The Chase’2013 kutoka Bongo Ammy Nando aliyefukuzwa katika jumba hilo kwa utomvu wa nidhamu anategemea kuiwakilisha tena nchi yake kwa mara nyingine mwakani 2014.
    Nando atakuwa anaiwakilisha Tanzania katika msimu wa 9 wa Big Brother Africa show, tagged Stars BBA na kwamba inasemekana staa huyo amekubali kuiwakilisha TZ mwakani.
    Nando alifukuzwa katika jumba hilo baada ya kutokea ugomvi kati yake na mshiriki kutoka nchini Ghana Elikem na kwamba alimuomba msamaha siku ya pati ya fainali ya shindano hilo.

    No comments:

    3500K