Maendeleo ya safari mpaka sasa
January 8-Mandara Hut(2700m)-Horombo Hut(3720)
Masaa ya kutembea:5
January 9-Acclimatization Day at Horombo Hut
Masaa ya kutembea :4
January 10 Horombo Hut(3200km)-kibo Hut(4730)
Masaa ya kutembea :5
Sasa leo wameanza kuelekea Uhuru Peark(5850) kupitia Gillman's point(5685m)
Credit to Killdovetour ambayo inasimamia tour hii nzima na upigaji picha.
No comments:
Post a Comment