Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda Express'
lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza muda wa
saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha kuwa
idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengine kuwa majeruhi na mvua
kubwa ilikuwa ikinyesha.
[image: Eneo la katikati ya Lugeye na Nyanguge basi la abiria la 'Bunda
Express' lenye namba za usajili T 782 BKZ likitokea Musoma kuelekea Mwanza
muda wa saa mbili asubuhi jana lilipata ajali mbaya, mazingira yanaonesha
kuwa idadi kubwa ya watu wamekutwa na umauti na wengi.
No comments:
Post a Comment