MSANII wa muziki Tanzania maarufu kama *Amazon*,
ameamua kuweka wazi kuwa amejitoa *Mtanashati Entertainment*, kwa kile
alichodai kuwa boss wa kundi hilo* Ustadhi Juma na Musoma*, alikuwa anataka
kumpa mkataba wa milele, kitu ambacho kimemfanya *Amazon* aone ni lengo la
kummaliza kimuziki.
source-dartalk
No comments:
Post a Comment