Watangazaji
wa Clouds FM na Clouds TV pichan shoto ni Millard Ayo na Ben Kinyaiya
pichani kulia wakifanya mahojiano mafupi na Mwanamuziki Koffi Olomide
mara baada ya kuwasili.
Mwanamuziki
nyota wa dansi kutoka nchini DRC-Kongo,Koffi Olomide akiwasalimia
baadhi ya mashabiki wake waliofika kumlaki usiku huu mara baada ya kuwasili akiwa sambamba na skwadi lake zima la Quartier Latin kwenye
uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA),
tayari kwa onesho
lake litakalofanyika siku ya jumamosi ndani ya viwanja vya Lidaz
Club,Kinondoni jijini Dar na jumapili jijini Mwanza ndani ya uwanja wa CCM-Kirumba,onesho
hilo ambalo limedhaminiwa na kampuni ya bia ya Afrika Masharikia (EABL)
kupitia kinywaji chake cha Tusker kiingilio chake kimepangwa kuwa ni
shilingi 10,000/= kwa kichwa kama tiketi ikinunuliwa mapema na shilingi
15,000/=
No comments:
Post a Comment