Mcheza Mpira Maarufu wa team ya Simba Mrisho Ngasa Ameripotiwa na Gazeti
moja wapo la Udaku leo liitwalo Ijumaa kuwa ameingia katika skendo ya
kujirekodi video huku akifanya mapenzi na Mpenzi wake ...Gazeti hilo
linadai kuwa lina video hiyo ambayo ina dakika kama 15 na inaonekana
wakiwa uchi wa mnyama na msichana huyu...
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment