Msanii mkali wa kike hapa Bongo Lady Jaydee ameeleza sababu za yeye
kuamua kwenda kupanda Mlima Kilimanjaro.Lady Jayde ambaye ana kipindi
cha Televisheni kuhusu maisha yake 'Dairy ya Lady Jaydee' kinachoruka
EATV kila Jumapili saa 3 kamili usiku pia alitoa list ya milima ambayo
ameshawahi kuipanda.Lady Jaydee alisema kuwa safari yake ya kupanda
Mlima Kilimanjaro na kila kitu kuanzia mipango ya upandaji mlima, safari
yote nzima itaonyeshwa kwenye kipindi cha 'Dairy ya Lady Jaydee'
ambacho pia kinadhaminiwa na Zante
Tuesday, December 11, 2012
Home
Unlabelled
MSIKILIZE LADYJADEE AKIZUNGUMZIA SABABU YA YEYE YA KUPANGA SAFARI YA KUPANDA MLIMA KILIMANJARO NA LIST YA MILIMA AMBAYO TAYARI AMEKWISHAIPANDA
No comments:
Post a Comment