G warawara anayewakilisha kundi la N2N Soldier amesema kuwa tarehe 23
mwezi huu msanii mwenzake wa kundi hilo Lord Eyes atazindua ngoma yake
mpya pande za Maisha Club.Pia DVD ya wimbo wa Niki Wa Pili Bum Kubam
itazinduliwa rasmi siku hiyo, na zaidi na zaidi siku hiyo kundi la WEUSI
watafanya shoo ya kufunga mwaka.Kundi la Weusi linaundwa na Bonta, Joh
Makini, G Wara Wara, Lord Eyes na Niki Wa pili.Kiingilio itakuwa ni kitu
cha buku 10 tu.
Monday, December 17, 2012
Home
Unlabelled
LORD EYES KUZINDUA NGOMA YAKE MPYA,NA PIA SIKU HIYO KUTAFANYIKA UZINDUZI WA DVD YA BUM KUBAM NA SHOO YA WEUSI
No comments:
Post a Comment