Leo
kundi la Mtanashati ambalo linaundwa na wasanii kama Dogo Janja, PNC,
Amazon na wengine.Logo hiyo Maalumu ya Kampuni ya Mtanashati
Entertainment inamaanisha;
Duara Nyuma ya M juu , inamaanisha Ostaz Juma
M -Inawakilisha Musoma
na MTANASHATI...
Kwa upande wa rangi logo hii ina rangi tatu
NYEUPE , NYEKUNDU , NYEUSI
NYEUPE inawakilisha Utanashati au usafi
NYEKUNDU inawakilisha Kufanya kazi kwa bidii
NYEUSI Inawakilisha Afrika

No comments:
Post a Comment