Hicho ndo kichwa kipya na zao la kwanza kabsaa la Ujamaa Hip Hop Darasa
lililoanzishwa na msanii wa Hip Hop kutoka Mwanza Fid Q.Msanii ambaye
yuko na Fid Q pichani anaenda kwa jina la Picolo tayari amashapata
mafunzo na ameshaiva kiasi kuhusu muziki wa Hip Hop ndo maana Fid Q
akaamua msanii huyo aachie ngoma yake na video yake pia.Fid Q anasema
kuwa anachotaka kufanya ni kuwasaidia wasanii wadogo wenye vipaji ambao
wako mtaani wakiosha magari, wakizurura kwa kuwapatia elimu ya muziki,
na maisha pia then kuwapeleka studio kwa gharama zake mwenyewe na baadae
kutoa album ya pamoja ambayo baada ya mauzo pesa pia zitarudi katika
Ujamaa Hip Hop Darasa
SIKILIZA ngoma ya msanii huyo inayoenda kwa jina la 'Mvua ya Mawe'
No comments:
Post a Comment