*Jay Moe* baada ya kufanya vizuri katika ngoma zake,sasa *latest infoz *nyingine
ambayo nimeipata hii leo ni kwamba jana alikuwa ndani ya* Bongo record *akifanya
ngoma yake nyingine mpya akiwa amefanya collabo na* Ommy Dimpoz *na jina la
hiyo inaitwa *Only you.*Kwa hiyo wale mashabiki wa Jay Moe na Ommy Dimpoz
kaeni tayari kwa ujio huu mpya kutoka ndani ya Bong Record.
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment