picha hizi zote zinatoka diamond webite
Petit Man & Shadee waliliongoza Red Carpet.... |
Makomando |
Shetta akiingia kwenye Red Carpet |
Akizitambulisha T-shert zake aina tofautitofauti... |
Akiitambulisha Website yake... www.shettamusic.com |
Nicheck Bbm kumbe Mbulula... |
H.K Akifanya yake sasa |
Mtoto Mzuri Shilole akiwa amekamatiliwa kisawasawa na mmoja ya Shabiki wake... |
Mmmh! Wakubwa wanafaidi sana LOL! |
Chezea Shilole weyee! |
|
Suma Mnazaleti... |
Young D |
Stereo |
Nyandu Tozi |
Pasha |
Makomando |
Tym ya Kibega sasa... |
Mmoja ya Mwanadada aliyeshindwa kuvumilia na kujitosa kwa Ferooz wakati akiperform wimbo wa Ndege Tunduni... |
Nay wa Mitego |
Zimepanda anamwaga Radhi....LOL! |
Msanii mpya toka Tht |
No Comment |
Team Shetta |
Shetta akiwakonga nyoyo Mashabiki wake kwenye usiku wa Bonge la Bwana |
Diamond Ashinda tunzo ya Msanii Bora wa kiume 2012 Nzumari Awards Kenya
Nikitoa shukrani kwa mashabiki wangu kwa kuniwezesha kutwaa Tunzo hiyo baada ya kupokea |
Hapa nikifurahishwa na kustaajabu jinsi wanamombasa walivyoiitikia na kuishangilia Nataka Kulewa nilipojaribu kuiimba Chorous...... |
Nikifanya interview na KTN moja TV Station kubwa sana Kenya, baada ya kupokea tunzo |
Nikiwa na Mh Suleiman Shahbal Governor mtarajiwa wa nchini Kenya |
Huyu ndio Best Presenter of the year, Mzazi William Tuva toka Citizen Tv an Radio Kenya... moja ya Mapresenter ambao wanaunyanyua sana mziki wa bongo flavor Africa |
Na mwanangu "Kigeugeu" Jaguar.... naye ni mmoja ya wasanii ambao walipokea tunzo kwenye ghafla hiyo |
Mnh! Moze iyobo tena..... ni kujiongeza tu |
mnh! kunambi tena..... |
Brian Zungu toka I-View Media akiwa na Jaguar |
Redcarpetin kulikua hivi sasa |
No comments:
Post a Comment