Kundi la TMK Wanaume Family wameachia wimbo mpya tangu watoe wimbo wa
mwisho mwaka jana 'Kichwa kinauma' ambao alichaguliwa katika Tuzo za
Kisima Kenya lakini haukushinda.Meneja wa kundi hilo Saidi Fella alisema
kutokana na maombi ya mashabiki wameamua waachie wimbo huo kwasababu
walikuwa kimya kwa kipindi cha mwaka mzima, "tumeona kabla mwaka
hujaisha tuachie ngoma tusingefanya hivyo sijui mashabiki wangetuonaje,
so ni ngoma ya Wanaume Family ameimba Chege, Temba,Yp,Aslay na Stiko
imetengenezwa katika studio za VIBE ambazo ziko chini ya Mkubwa na
Wanae...ISIKILIZE
Wednesday, November 14, 2012
Home
Unlabelled
UJUMBE KUTOKA KWA MENEJA WA KUNDI LA TMK WANAUME FAMILY,SAIDI FELLA
No comments:
Post a Comment