Ngoma yake ya Daimond ambayo imo kwenye album yake mpya iko nafasi ya
kwanza kwenye chart za Billiboard lakini Rihana aka Riri amewashangaza watu
na kivazi alichoenda nacho kwenye kutangaza rasmi kuhusu album yake mpya
'Unpologetic'.Riri alitokelezea na kivazi hicho ambacho kofia hiyo ni ya
kulalia na nguo nayo ni kama yakulalia.
Watu wanauliza kuwa alivaa hiyo nguo gizani au aliamka akawa amechoka
akaaona uvivu akaamua kutinga hivyo hivyo?Labda yawezekana ana uchovu wa
Tour ya 777 aliyomaliza ambako alizunguka nchi 7 za Ulaya nakufanya shoo 7
ndani ya siku 7
No comments:
Post a Comment