• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Thursday, November 22, 2012

    PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA SHILOLE AMBAZO ZINAMUONYESHA SHILOLE AKIFUNGA NDOA NA MO RACKA



    Nilivyoweka picha za msanii wa filamu na kuimba Shilole zinazomuonyesha akifunga harusi nilisema zitakuwa ni za video tho Shilole mpaka leo kwenye status yake ya BBM kaandika mke wa mtu lakini Ukweli ni kwamba hizo picha ni za kwenye utengenezaji wa video ya wimbo wa 'Dudu' ambao ishampa shoo kibao kutokana na staili yake ya uchezaji kwenye stage. Video hiyo ambayo amecheza na Msanii mwenzake Mo Racka imefanywa na kampuni ambayo Shilole huitumia kutengeneza video zake inayoenda kwa jina la 'Kwetu Studio'.

    No comments:

    3500K