Mtoto wa msanii wa R&B hapa bongo Rama D aliyezaa na mchumba wake ambaye ni
Mzungu raia wa Australia anayeishi nae nchini humo na wana mpango wa
kufunga ndoa pamoja mambo yatakapokamilika
Hiyo ndo nyumba ambayo Rama D anayefanya poa na ngoma ya 'Kuwa na Subira'
anaishi
Rama D Akitembea ufukweni mwa bahari
Na hilo ni gari ambalo Rama D analitumia
No comments:
Post a Comment