Hii picha imezua maswali mengi kutoka kwa mashabiki wa Diamond kuhusu
kuonekana kama anapaka wanja huku mwanadada akimtazama kwa makini, kila mtu
ametoa wazo lake kuhusu muonekano huo, kwa mtazamo wetu hii ni picha ambayo
labda ipo kwenye video na hapo yupo location lakini taarifa hatunazo ila
raia vuteni subira.
To the extent possible under law,
Filex Mmari
has waived all copyright and related or neighboring rights to
blog.
This work is published from:
Tanzania, United Republic of.
No comments:
Post a Comment