• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Monday, November 26, 2012

    DAIMOND ASHINDA TUZO KWA MIAKA MIWILI MFULULIZO HUKO MOMBASA


    Kwa miaka miwili mfululizo Daimond amekuwa ni mshindi wa Tuzo za Nzumari kama Best Male Artist kutoka Tanzania.Tuzo hizo hufanyika kila mwaka huko Mombasa.Baadhi ya washindi wengine ni kutoka Nairobi ambapo Tuzo ya Msanii bora wa kiume Nairobi imeenda kwa Octopizo, na ya msanii wa Kike kutoka Nairobi imekwenda kwa Muthoni da Drama Queen.
    Hongera sana kwa Daimond.

    No comments:

    3500K