Hiyo ni picha ambayo jana Shilole alikuwa ameiweka kwenye dp yake akiwa
amebebwa na msanii mwenzake Mo Racka, ikiambatana na maneno haya,
"Mlisema siolewi sasa nimeolewa".Zaidi pia Msanii mwingine Ngwair
aliweka picha kama hiyo nakuandika 'Wedding',.Kuna watu wengine kwenye
bbm waliweka picha hiyo nakumpongeza Shilole kwa kuolewa.
Moja kwa moja nikamuuliza mamii vipi umeolewa kimya kimya akanambia
kweli nimeolewa kimya kimya kwasababu mjini wezi wengi.Lakini mida flani
kabla ya hizo picha Mo Racka aliandika kwenye twitter hivi...Mohamed
@Mo_racka
napita kwa wife, nachukuwa chakula then naenda kwenye video ya shilole yap
Navyohisi itakuwa ni videoo na kama ni ndoa basi itajulikana.
No comments:
Post a Comment