Msanii mahiri wa *Bongo Fleva* almaarufu kama* King Zilla au Godzilla *kutoka
*Salasala,*baada ya kufanya vizuri katika ngoma zote mwaka huu,sasa basi
kama unakumbuka siku zilizopita alishawahi kuzungumzia kuhusu video yake
mpya ya Nataka na kusema kwamba ndiyo yupo katika hatua ya mwisho ya
kumalizia video hiyo.Sasa leo jioni kupitia katika ukurasa wake wa facebook
aliweza kuitoa rasmi video hiyo mpya akiwa amemshirikisha Marco Chali.
its more about music industry and social issues in and out of bongo land
No comments:
Post a Comment