BAO LA MIROSLAV KLOSE
BAO LA MESUT OZIL
ZLATAN IBRAHIMOVIC
BAO LA RASMUS ELM DAKIKA YA 93
Dakika 30 tu ziliwatosha Sweden kuonyesha kiwango chao dhidi
ya Ujerumani ambao walikuwa wakiongoza kwa mabao 4-0. Zlatan Ibrahimovic (PSG)alitia
hamasa kwa bao lake la kwanza katika dakika ya 62, ndipo mvua ya mabao
ilipoanza na kumfanya Manuel Neuer ashindwe la kufanya kwani dakika ya 64 Mikael
Lustig(Celtic) alitupia baada ya kufanya kazi ya ziada. Dakika ya 76 Johan
Elmander(Galatasary ya Uturuki) Msumari wa kusawazisha aliupigilia Rasmus Elm(CSKA Moskova)
katika dakika ya 93.
Mabao ya Ujerumani yalifungwa katika dakika ya 8 na 15 na Miroslav
Klose mchezaji wa klabu ya , Per Mertasacker (Arsenal)alifumania nyavu katika
dakika ya 39 na Mesut Ozil (Real Madrid).
No comments:
Post a Comment