Siku chache zilizopita tulishuhudia Japan ikimpa kichapo Ufaransa
cha bao moja kwa nunge, lakini jana
jioni Brazil ilitoa kicha cha hatari kwa Japan cha mabao 4-0. Mechi hii
ilichezwa katika Jiji la Wroclaw katika uga wa Miejski nchini Poland.
Mabao ya Brazil yalifungwa na Paulinho dakika ya 12 pasi
safi kabisa ya Oscar, Neymar alitupia dakika 25 kwa njia ya Penati, dakika ya
48 Neymar alifumania tena nyavu pasi safi ya Oscar na dakika ya 76 Ricardo Kaka
alitupia kambani bao safi ikiwa ni pasi murua ya Neymar.
Lineups
Coach: A. Zaccheroni
|
|||
40'
|
|||
76'
|
|||
37'
|
|||
12'
|
|||
25' 48'
|
|||
Coach: Mano Menezes
|
No comments:
Post a Comment