Mkuu mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali John Casmiri Minja akila kiapo mbele ya Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo aubuhi. |
Thursday, October 11, 2012
Home
Unlabelled
RAIS KIKWETE AMWAPISHA MKUU MPYA WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI, KAMISHNA JENERALI JOHN CASMIRI MINJA......
No comments:
Post a Comment