First of all
ningependa sana kutanguliza shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa muda
huu wote wa kuusimamia na kuuongoza muziki wa Bongo Flavour kuanzia
umeanza hadi leo ulipofikia...Kiukweli umepiga hatua kubwa sana,kadri
siku zinavyozidi kwenda ndipo muziki huu umekua ukizidi kupata
Umaarufu,kupata Mashabiki na kufatiliwa ndani na nje ya nchi...Honestly
najivunia sana kuwa mtanzania na kuwa Miongoni mwa Wanabongoflavour
hao....na hii ni moja ya show Kali ambayo kiukweli katika hii wiki
imezua gumzo sana,sifa na kufanya ulimwengu kutaka kuzidi kuufahamu na
kuujua muziki wa bongo flavour zaidi kutokana na ubunifu uliofanyika
humu ndani ......
Thursday, October 11, 2012
Home
Unlabelled
Hii ndo KAULI ya DIAMOND kuhusu KUVUA BOXER SIKU ya FIESTA DAR.
No comments:
Post a Comment