NEWZ>>>FILEX MMARI
HAYA NI MANENO YA DJ CHOKA KUHUSU MKASA UNAOMKABILI HIVI SASA. "Naomba kusema hivi kuna msichana anayejiita AMANDA GREEN humu facebøk ananichafulia s ana na anaonyesha anatuma picha chafu kwa msichana niliyenaye ambaye anaitwa KENZO na kumwambia yeye ni msichana wangu so huyo KENZO aachane na mimi na anazidi kutuma hizo picha chafu kwa watu ili nionekane mimi ndio ninazo hizo picha na nimempa huyo AMANDA ili awaonyeshe watu. Haitoshi sijui kapata wapi namba ya mke wangu mama kijacho na amemtumia ujumbe kwenye simu yake na kumwambia kuwa aachane na mimi eti mimi malaya na anataka kumtumia hizo picha chafu mke wangu. Sasa cha ajabu nachoshangaa namba hii 0778 105357 anayoitumia kutuma message inakuwa haiko hewani na ukiipiga inasema call divert. KAMA WEWE NI RAFIKI KWA HUYU MTU MWAMBIENI HIVI LEO AMENIKUTA KWENYE GOOD MOOD LAKINI NASUBIRI HIZO PICHA AMBAZO AMESEMA ANATAKA KUMTUMIA MKE WANGU".
No comments:
Post a Comment