• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, October 16, 2012

    NAMBA YA DOGO JANJA HADHARANI HAKUNA USTAR HAPA




    Dogo janja  siku hizi za karibuni ameonekana kujiweka karibu sana na fans wake, sijui nini kimekuta maana kama amepigia mstari sana, siku chache flani zulizopita ali broadcast kupitia kwenye BBM  na kuwaponda wasanii wanaowadharau mashabiki zao wakati mwisho wa siku wanarudi kuomba sapoti kwa hao hao mashabiki.

    masaa 20 yaliyopita ametupia tena kupitia kwenye facebook kuonyesha kuwa yuko karibu na anahitaji kuwa karibu na mashabiki wake baada ya kuachia namba ya simu ya mkononi na kukaribisha maoni, ushauri na hata atakaetaka kumponda ballliiida
    Uliza lolote lile unalotaka kujua kutoka kwangu usisikie kwa mtu then ukaamin Piga 0752368486 namba yng iyooo anytime fans kama ukinipa ushauri.ukinisifia,Ukinipoonda Baridaaaaaa! Napokea Mwenywe hakuna kuringa hapa Hakuna Star wote Watoto wa Mungu tumefunzwa Upendo Nipigien Anytime#Much love

    No comments:

    3500K