Mshambuliaji wa Timu ya Manchester
United, Robin Van Persie hatoweza kukabiliwa na adahabu kutoka kwa Chama cha
Soka nchini England kufuatia kumtandika kiwiko mchezaji wa Newcastle Mfaransa Yohan Cabaye.
Kocha wa
The Magpies, Alan Pardew alimtuhumu Van Persie kufanya kosa dhidi ya Cabaye na
kuitaka FA imshughulike.
Hii
inatokana na mwamuzi wa mchezo huo Howard Webb kuliangalia kosa hilo na
kutolichukulia hatua yoyote ile.
Pia
FA imetupilia mbali mipango yake ya
kutaka kumpa hukumu Cheikh Tiote dhidi ya Tom Cleverly
No comments:
Post a Comment