Izzo
Bizness msanii wa hip hop kutoka Bongo baada ya kuachia video ya MWAKA
JANA sasa yuko tayari kabisa kuachia video nyingine ambayo imebeba jina
la UTARUDISHWA ambapo ndani ya wimbo huo amemshirikisha msanii kutoka
Morogoro Belle 9. Video hii imetengenezwa na yule yule Dir ambaye
alifanya video ya mwaka jana anajulikana kwa jina la Nick Dizzo kutoka
E-Media.
No comments:
Post a Comment