• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, September 4, 2012

    TANZANIA WASHIKA NAFASI YA PILI NA YA NNE KATIKA FANALI ZA NOKIA


    Huyu ndiye Ally Chuma aliyebeba bendera ya tanzania mpaka katika fanali za nokia dont break the beat na kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya pili  katika fanali hizo za nokia dont break the beat nchini kenya.
    Huyu ni Njama mtandika alifanikiwa kuipatia ushindi nchi yake ya Tanzania kwa kushika nafasi ya nne katika fanali za nokia dont break the beat yaliyofanyika nairobi nchini kenya.

    Vijana wamefanya kazi nzuri sana katika fanali za nokia dont break the beat  kwa kuipatia nchi yao ushindi wa nafasi ya pili na ya nne nchini kenya.
    Adam a.k.a Baba john  na Salama wakiwa na furaha baada ya kuchukua ushindi wa nafasi ya pili na ya nne katika fanali za nokia dont break the beat nairobi nchini kenya.

    No comments:

    3500K