Ni moja kati ya watu ambao wana umaarufu sana katika upande wa U Dee jay hapa Africa hata pale msanii anapoenda kupiga show labda nje ya nchini basi katika upande wa Dj lazima utamkuta mtu mzima choka anakaa kwenye moja na mbili .Sasa kwa siku ya leo Dj choka anatimiza miaka 28 toka azaliwe mwaka 1984 baada ya kutimiza miaka hii leo aliamua kusherekea siku yake ya kuzaliwa na watoto wa kitaani.
HII HAPA CHINI NDIO VIDEO YA TUKIO HILI
No comments:
Post a Comment