Habari ambazo zimesambaa mtaani hasa maeneo ya Kariakoo Jijini Dar es
salaam, zinamhusu msanii wa muziki wa kizazi Ali Kiba, inasemekana
kwamba Hivi karibuni Familia yake inayoishi Kariakoo karibu na Club ya
Soccer ya YANGA, eti walivamiwa na Majambazi/ Wauaji huku wakiwa na
Silaha za Moto/ Bunduki, sasa inasemekana mpaka sasa hivi kuna mwanamke
amekamatwa akihusishwa na Tukio hilo na inasemakana kwamba Jeshi la
Polisi lilipo Jaribu kumhoji Mwanamke huyo akajibu kuwa eti wametumwa na
Msanii Khalid Mohammed/ TID eti wakamuue Ali Kiba, Mwanamke huyo
anashikiliwa na Polisi na Leo TID ameitwa Polisi kwa mahojiano zaidi,
Gazeti la Makorokocho lilipojaribu kuongea na Pande zote Mbili TID na
Ali Kiba, Tid alijibu yeye hajui chochote na anashangaa kuhusishwa na
Tukio hilo ukizingatia yeye hana beef yoyote na Ali Kiba, na Upande wa
Ali Kiba ulipovutiwa wire wakasema muda ukifika ndio watatoa Taarifa
rasmi kwa umma.
skiza hapo chini You Heard ya Leo Gossip Cop alivyopiga nao story ndani
ya XXL ya Clouds fm:
No comments:
Post a Comment