• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Friday, August 31, 2012

    Maisha Plus 2012: Baada ya Lushoto ni Sanya Juu, K'njaro


    Awamu ya kwanza  ya zoezi la kwasaka vijana watakaoweza kumudu mchakamchaka wa shindano la Maisha Plus, imeanza jana
    (Agosti 27) huko Bagamoyo mkoani Pwani.

    Leo shindano hilo litafanya usaili katika wilaya ya Lushoto ambako zoezi hili litafanyika katika maeneo ya mjini mwa wilaya hiyo.

    Baada ya hapo ratiba za audition zitaendelea kama ifuatavyo;


    Agosti 29- Kilimanjaro/ Sanya juu
    Usaili utafanyika katika mji wa Bomang’ombe
    Agosti 30- Arusha/ Ngorongoro
    Usaili utafanyika Karatu
    Agosti 31 – Singida
    Usaili utafanyika Singida Mjini
    Septemba 1- Iramba
    Usaili utafanyika Iramba Mjini
    Septemba 2- Dodoma
    Usaili utafanyika Kondoa Mjini
    Hii ni awamu ya kwanza ya usaili wa shindano hili, audition zitaendelea stay tuned kwaajili ya tarehe na mahali ya auditon zitakazoendelea

    No comments:

    3500K