Msanii anayeondoka na style za Rnb hapa bongo huyu si mwingine namzungumzia Ben
pol.Msanii huyu amesitisha kufanya collabo na wasanii mpaka amalize
project ya nyimbo yake inayofahamika kwa jina la Pete.kwani ameeleza
kwamba utakuta anatumia muda mwingi sana katika kufanya collabo na
wasanii wa hapa nchini na hicho ndicho kinachomfanya asimalize project
zake. kwa hiyo amesitisha kwanza mpaka amalize project yake ya pete
ndipo atachukua uamuzi wa kufanya collabo na wasanii.Hayo ndiyo maneno
ya Ben Pol akifunguka kuhusiana na sababu za kutokufanya collabo.
No comments:
Post a Comment