|
Mkijua sheria za usalama barabarani hata rushwa hamtatoa maana unajua sheria |
|
Kamanda
wa kikosi cha usalama barabarani mkoani wa Arusha Marson mwakyoma
akiongea na baadhi ya madereva wa pikipiki waliofuata pikipiki zao
kituoni hapa ambazo zimekamatwa |
ZAIDI ya asilimia 90% ya madereva wa pikipiki mkoani Arusha hawana leseni za udereva na wengine hawajui sheria za barabarani
Hayo yamebainishwa na kamanda wa
kikosi cha usalama barabarani mkoani hapa Marson Mwakyoma wakati
akifanya mahojiano na libeneke la kaskazini ofisini kwake
Alisema kuwa kutokana na ajali nyingi
ambazo zimekuwa zikitokea kikosi cha usalama babarbarani kimefanya
uchunguzi na kubaini kuwa zaidi ya madereva hao wamekuwa hawana leseni
na ambao wanayo wamekuwa hawajapata kwakufata sheria na wengine
hawajasoma kabisa.
No comments:
Post a Comment