Julai Mosi mwaka 2012 hatosahaulika
kwa mashuhuda na mashabiki wa timu za barani Ulaya pale kulipofanyika bonanza
la Serengeti Soccer Fiesta Bonanza katika viwanja vya TIA ambapo Mashabiki wa
Man United walitwaa Kombe hilo.
Katika Jiji la Mbeya kulikuwa na Vifijo nderemo baada
ya mashabiki kumuona Mbwiga Mbwiguke ambaye mara nyingi husikika katika Kituo
cha Redio Clouds FM katika Sports Extra. Kila mtuy alitamkani kupiga naye picha
Lakini kabla ya hapo uwanja hapo kabla ya Fainali ilikuwa hivi.
KIKOSI CHA MAN CITY KATIKA BONANZA HILO KABLA YA MECHI
ALEX LUAMBANO (anayeandika) AKIHAKIKI JEZI KWA AJILI YA KUZIGAWA KWA WAHUSIKA WA BONANZA
No comments:
Post a Comment