• Breaking News

    Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

    It's more about music industry and social issues in and out of bongo land

    Tuesday, July 3, 2012

    Tapeli wa Tweeter Account Ya Ommy Dimpoz


    Kumekuwa na Wimbi la watu ku create account za wasanii na kujifanya wao ..huku wakiomba hela na kutapeli watu ....huo ni moja ya mfano wa mtu anae jifanya ommy Dimpoz , pia week iliyopita niliona account fake ya Ali Kiba ikidanganya wakenya kuwa yuko Kenya kutembelea watoto yatima so anaomba watu wachangie kwa Mpesa na akatoa na number ya safaricom ya kenya...lakini kufatilia haikuwa Ali kiba wa kweli am sure jinsi wakenya wanavyompenda Ali Kiba kuna walio tuma hela zao bila kujua huyo ni just a Con Man.

    No comments:

    3500K