Amesema
Mama Maria Nyerere alimsaidia sana katika kumuonyesha vitu gani mwalimu
alikuwa akifanya, na vitu gani mwalimu alikuwa akivipenda, na sehemu
ambazo mwalimu alipenda kukaa baada ya kazi zake. Pia ametoa shukrani
kwa wasanii wenzake ambapo walijitahidi katika hali moja au nyingine
kuhakikisha filamu hiyo ili ikamilika.
Thursday, July 5, 2012
Home
Unlabelled
STEVE NYERERE AKABIDHI FILAMU YAKE YA MWL NYERERE KWA MAMA MARIA NYERERE
No comments:
Post a Comment