Madame watatu
wakali katika game la hip hop nchini marekani a.k.a Obama land
wameungana katika ngoma ya Trina inayoitwa “Bad Bychhhhh” Ngoma hiyo
ambayo imewashirikisha madini ya kibiashara wanaotoa mistari ya hatari
Lola Monroe na Shawna katika wimbo itakayowapa heshima wanawake.
Thursday, July 5, 2012
Home
Unlabelled
NANI ALISEMA (MADAME) WAKALI KATIKA GAME HAWAWEZI KUKAA NA KUFANYA KITU PAMOJA TENA?
No comments:
Post a Comment