Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Uganda, Joseph Mayanja 'Jose
Chameleone' usiku wa leo amefunika vilivyo katika Tamasha la Usiku wa
Matumaini lililofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Chameleone aliwarusha mashabiki kwa baadhi ya nyimbo zake za zamani kama
Mambo bado, Kipepeo na ile mpya iitwayo Valu Valu inayopendwa na watu
wengi hapa Bongo.
No comments:
Post a Comment