LINAH..JUMAPILI
HII KWA MARA YA KWANZA JIJINI DAR-ES-SALAAM BAADA YA KUMALIZA TOUR YA
AMERICA ATAANGUSHA SHOW KABAMBE AKIPIGA KILA WIMBO NA LIVE BAND,PAMOJA NA BURUDANI HIYO LINAH ATAZINDUA RASMI VIDEO MPYA YA " AJ UBAO NA LINAH" ILIYOTENGENEZWA MAREKANI,PIA MA SUPERSTAR WENGINE WA BONGO FLEVA WATAKAO MSINDIKIZA USIKU HUO NI,,MWANA F.A,DITTO, AMINI NA COUNTRY BOY.
NEW MAISHA CLUB
KUANZIA SAA 3 USIKU
KIINGILIO TSH- 7000
No comments:
Post a Comment