Soggy Doggy
Mambo
vipi wadau?Salama?Ni hivi,mwezi ujao wote Soggy Doggy, Bwana Misosi na
D.Knob tunafanya Hip-hop tour Kanda ya ziwa,Ruvuma na Arusha lengo
kubwa likiwa ni kutoa burudani kwa mashabiki wetu ambao huwa wanatuona
mara chache sana kwani tunabanwa na majukumu mengine,katika ziara hizi
tunaambatana na madansa wetu na tumedhaminiwa na PRO-24
Bwana Misosi
D Knob
No comments:
Post a Comment