Ujio mpya wa mwanamuziki D.I.Z toka studio za Afrocentric, ameachia
video yake mpya inayokwenda kwa jina la "how to love". the best rappa
alive huyu pia ni miongoni mwa nominated artists ambao inasemekana kua
na fans wengi pamoja na more downloads ya nyimbo zake kupitia blogs na
social network mbalimbali kama vile twitter, facebook na myspace.....if
you love good music- he is ur best choice-TUBADILISHE mziki
watanzania...search for D.I.Z in all social networks and have your free
downloads.
No comments:
Post a Comment