KWA WASANII WOTE WA BONGO FLAVOR MLIOPO DAR NA MAENEO YA JIRANI, STUDIO YA
TETEMESHA RECORDZ IMEHAMIA DAR TOKA DECEMBER MWAKA JANA. PRODUCER NI YULE
YULE KID BWOY, SO KAMA UNAHITAJI KUFANYA KAZI NA TETEMESHA FANYA
KUWASILIANA NA Sandu 'Kidbwoy' George HII SIO ISSUE YA LABEL KWA SAIZI
HATUCHUKUI MSANII SO NI KIBIASHARA ZAIDI...
No comments:
Post a Comment