*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha
Mhe. Edward Rutakangwa kuwa kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama
katika hafla fupi iliyofanyika leo Ikulu jijini Dares salaam.*
*Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimwapisha Mh. Semistocles Kaijage (kulia) kuwa
jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kabla ya
uteuzi huo Mh. Semistocles Kaijage alikuwa jaji Mfawidhi wa Mahakama kuu
kanda ya Dar es salaam.*
BY filexmmari1994.blogspot.com
No comments:
Post a Comment